Masomo ya Kitaaluma ya Saikolojia

Masomo haya huandaliwa mahususi kwa vikundi vinavyohitaji kwenda ndani zaidi na kwa kawaida hutolewa kwa nusu siku kwa somo husika. Mazungumzo yatapangwa kulingana mahitaji ya elimu pamoja na lugha ya kikundi na haya yatahusisha  nadharia na vitendo.

 

Changia

Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz

Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.