Buku Mafunzo

Mafunzo kutoka AMHT yanatengenezwa mahususi kwa kikundi kinachoomba na yanafundishwa na wanachama mbalimbali wa timu ya AMHT. Tunapanga muda na namna ya kufundisha kuendana na wateja wetu na wakufunzi wa kwa kiingereza na Kiswahili wanapatikana.

Siku nne kamili zinahitajika kwamafunzoya hulka (MBTI au Enneagram), makuzi ya mtu, elimu ya uzazi, na mbinu za kanseling. Hata hivyo, tunaweza kugawanya mafunzo hayo kwa wiki nane nusu siku kama hiyo yaweza kukubalika kwa kikundi.

Kubuku mafunzo, tafadhali wasiliana na Robin kwa barua pepe info@amht.co.tz

 

Changia

Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz

Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.