Vipimo vya uwezo wa akili na mafanikio

Vipimo vya uwezo wa akili na mafanikio vipo kwa watoto na watu wazima kutoka katika mazingira ya kimagharibi na ambao wanasoma katika shule za kimataifa. Watu wazima na wanafunzi wakitanzania hawahudumiwi vema na hivi vipimo kwa sababu hivi vipimo havikidhi viwango vya watu hawa na hakuna vipimo vingine kwa watu wa asili ya Afrika Mashariki. Kwahiyo tunaweza kutoa vipimo hivyo kwa watu wachache sana ambao wanaamini kuwa vipimo hivyo vinakidhi mahitaji ya utamaduni na mila zao. Vipimo vilivyopo katika matumizi kwa sasa ni Kipimo cha uwezo wa akili kiitwacho Woodcock Johnson na Kipimo cha mafanikio kiitwacho Woodcock Johnson, toleo la tatu (WJIII).

 

Changia

Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz

Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.