Dira

Anuani ya makazi ni Idara ya afya ya akili
Hospitali ya Mkoa Mt. Meru, barabara ya Afirka Mashariki

 

 

Uelekeo wa Mt. Meru Hospital

 

Uelekeowa Idara ya Afya ya Akili ndani ya Hospitali

hosp

Changia

Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz

Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.