Mafunzo Maarufu

Mafunzo haya hutolewa kwa mtu mmoja au kwa kikundi kwa walio na mapenzi binafsi au ya kitaaluma na sio lazima mtu au kikundi kiwe na msingi wa afya ya akili na sio lazima pia kuwa awe amefanya kazi katika taaluma ya afya ya akili. Mafunzo haya yaweza tolewa katika lugha ya kiingerza au Kiswahili na yatapangwa kukidhi vigezo, mahitaji na matazamio ya kikundi. Mafunzo haya yanachanganyika na yatahusisha mafunzo kwa vitendo na vitu mbalimbali vya maisha yetu ya kila siku..

 • Ujana
 • Jazba na Udhalilishaji
 • Utawala wa hasira
 • Wasiwasi na Utawala wa wasiwasi
 • Mitazamo
 • Mawasiliano
 • Utawala wa mitafaruku
 • Kutawala hisia
 • Eneagramu
 • Kiini cha familia
 • Maombolezo
 • Makuzi ya mtu
 • Akili ya mtu
 • Elimu ya Uzazi
 • Maya Brigs
 • Malezi
 • Kutatua tatizo & Maamuzi
 • Mang’amuzi binafsi
 • Kujithamini/kujipenda
 • Kujitunza na Trauma
 • Fobia ya jamii
 • Matumizi ya madawa ya kulevya
 • Vijana na Ngono
 • Madhara ya trauma

 

Changia

Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz

Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.