Habari Kuhusu Masuala ya Afya ya Akili

Endapo wahitaji kujua zaidi habari za masuala ya afya ya akili tafadhali angalia katika viunganishi hapo chini ambavyo twaamini vinatoa maelezo ya uhakika.

Katika tovuti hii unaweza pata maelezo ya mgonjwa yahusuyo matatizo ya afya ya akili, ugunduzi, dawa na mengi zaidi.

Katika tovuti hii utapata kitabu kitumikacho na wataalamu wa afya ya akili kwa ajili ya utambuzi wa tatizo.

Katika tovuti hii utaweza tafuta takwimu za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania zihusuzo masuala kama ya lishe, ukimwi, ulinziwa watoto, afya na elimu.

 

Tovuti hii itakuelekeza kwenye kwenye tovuti maalumu ya Shirika la Afya Duniani ambako utapata habari nyingi zamasuala ya afya.

 

Changia

Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz

Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.