Vipimo vya nurolojia

Vipimo vya nurolojia vinapatikana pia kwa idadi ndogo ya watu ambao wanaamini wao au watoto wao wanaendana na na utamaduni na mila za kimagharibi au za ulaya ambazo zinaendana na kiwangocha vipimo hivyo. AMHT inatumia Woodcock Johnson, toleo la tatu kwa minajili hiyo.

 

Changia

Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz

Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.