Historia Yetu

Arusha Mental Health Trust ilianzishwa mwaka 1996 ndani ya mitaa ya Arusha mjini,ilikuwa kutokana na mahitaji makubwa ya huduma ya afya ya akili kwa idadi ya watu waliokuwa wakiongezeka. Kwa wakati huo hakukuwa na huduma ya uhakika iliyokuwa ikipatikana. Dr. Sheila Devane (Mwanzilishi Wetu)anafanya kazi chini ya makubaliano na Masista wa Medical Missionaries of mary. Pamona na kubaki kuungwanishwa na urafiki na utamaduni, shukrani kwa MMM ambao wameendelea kutusaidia, hatimaye AMHT ilikuwa Kampuni mwaka 2004 na baadaye kusajili rasmi kama TRUST mwaka 2006 na sasa inajitegemea.

 

Changia

Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz

Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.