Wafanyakazi Wetu

Tunao wafanyakazi wachache lakini wenye vipaji, makini na waliofundishwa vema. Wauguzi wa afya ya akili wamesajiliwa na wana elimu maalumu ya afya ya akili. Kuna daktari mmoja miongoni mwa wafanyakazi mwenye mapenzi na uzoefu wa masualaya afya ya akili, Tabibu wa Kisaikolojia, na makansela wawili waliohitimu na wenye uzoefu. Pia wapo wanandoa tunashirikiana nao wanaojihusisha na masuala/matatizo ya ndoa na ngono.

 

Changia

Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz

Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.