Tathmini kwa Mashirika ya Dini ya Katoliki

Tathmini kwa Mashirika ya Dini ya Katoliki yanafanyika ilikikidhi kigezo cha mahitaji ya sheria ya Kanisa.

Sheria ya Kanisa namba 642: Viongozi watatoa uangalizi maalumu ili kuwapokea wale tu ambao zaidi ya kutimiza umri wana muelekeo mzuri na wamekomaa ili kuweza kufuata maisha ya shirika. Kama ni lazima, afya, muonekano na ukomavu vinabidi visibitishwe na wataalamu bila ya kupingana na sheria ya Kanisa namba 220.

Sheria ya Kanisa namba 220: Hakuna yeyote kwa kutofuta sheria anaruhusiwa kuharibu sifa ya mtu au kuvunja haki ya mtu ya kulinda siri zake.

 

Changia

Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz

Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.