Kongamano Maalumu la Mpango na Uanzishaji wa Sheria/Kanuni

Arusha Mental Health Trust inatoa muongozaji katika kupanga mipango na kuunda kanuni/sheria kwa taasisi. Zaidi,

1 Kongamano juu ya muundo wa makundi, kutatua mitafaruku, jinsi ya kukabiliana na msongo wa mawazo, na kujua hulka ya mtu hutolewa.
2 Tathmini ya ajira hufanyika kwa mtazamo wa kisaikolojia kuona muombaji anafaa kwa kazi aliyoiomba.
3 Kuongoza ufuatiliaji na kutathmini miradi.
4 Kuongoza uundaji wa kanuni/sheria (mfano, kanuni ya kumlinda mtoto na mtu aliye katika mazingira hatarishi kwa taasisi)

 

Changia

Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz

Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.