Masaa ya Utabibu

Huduma inapatikana kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni Jumatatu mpaka Ijumaa. Jumamosi, Jumapili na siku za sikukuu idara hufungwa.

Namna ya Kupanga Miadi

Miadi huweza pangwa wakati wa masaa ya kazi kwa kupiga moja ya namba hizi:

+255 27 254 8778 (Mkurugenzi)

+255 27 254 8511 (Namba ya jumla)

+255 767 888006 (Namba ya Dharura)

 

Changia

Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz

Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.