Watu wenye tatizo la pombe au ma dawa hutumwa na AMHT kwenda katika kikundi cha walevi wa Pombe (AA) au walevi wa Madawa (NA).
Kikundi hiki huwasaidia watu ili kuwapa moyo na kuendelea kutotumia. Kikundi kinaongozwa na washauri wawili (John na Frank).
Mikutano hufanyika katika Kanisa la Arusha Community Church na Kanisa Katoliki Monduli.
Arusha Community Church:
Siku |
Mukutano |
Luha |
Muda |
Jumatatu |
Kikundi cha Walevi |
Kiswahili |
Saa 11 jioni |
Jumanne |
Kikundi cha madawa |
Kiingereza |
Saa 7 mchana & 11 jioni |
Alhamisi |
Kikundi cha walevi |
Kiswahili |
Saa 7 mchana |
Alhamisi |
Kikundi cha madawa |
Kiswahili |
Saa 11 jioni |
Ijumaa |
Kikundi cha walevi |
Kiswahili |
Saa 11 jioni |
Jumamosi |
Kikundi cha walevi |
Kiswahili |
Saa 4 asubuhi |
Kanisa la Arusha Community Church lipo jirani na hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre. Katikati ya mji, kaskazini ya stendi ya mabasi na magharibi ya hoteli ya Golden Rose.
Kanisa Katoliki Monduli:
Siku |
Mikutano |
Lugha |
Muda |
Jumapili |
Kikundi cha walevi |
Kiswahili |
Saa 10 jioni |
Jumatatu |
Kikundi cha walevi |
Kiswahili |
Saa 9.30 jioni |
Jumatano |
Kikundi cha walevi |
Kiswahili |
Saa 9.30 jioni |
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Simu: Frank +255 755 900119 or John +255 754 428677
Barua pepe: frankfocas@yahoo.com
Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz
Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.