Mafunzo haya huundwa kwa watu wafanyao kazi katika eneo fulani ambapo mbinu maalumu huuitajiaka. Mafunzo haya sio kwa watu wenye taaluma peke yao bali pia hutolewa kwa kulingana na mahitaji ya elimu na lugha kutokana an mahitaji ya kikundi (Kiswahili au Kiingereza). Kwa mfano, mafunzo ya mbinu za Kanselingi, yametolewa kwa mafanikio kwa watu watoa huduma ya wagonjwa majumbani, wahudumu wa kujitolea katika huduma ya Ukimwi, nyumba za watoto yatima, mashuleni, huduma za walemavu na kwa wale walio na taaluma. Mafunzo hayo hayo huweza tolewa kwa watu wenye msingi wa saikolojia na wale wanaohitaji kujikita zaidi katika nadharia ya kazi ya utabibu wa afya ya akili.
1 | Mbinu za Msingi za Kanselingi |
2 | Mbinu za therapy |
3 | Schema focused therapy |
4 | Acceptance and Commitment therapy |
5 | Acceptance and Commitment therapy |
6 | Inner Child |
7 | Mbinu za Gestalt (Mazoezi ya kiti, nk) |
8 | Expressive therapy |
9 | Cognitive Behavioral therapy |
10 | Psychosis and Schizophrenia |
Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz
Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.