Arusha Mental Health Trust inatoa muongozaji katika kupanga mipango na kuunda kanuni/sheria kwa taasisi. Zaidi,
1 | Kongamano juu ya muundo wa makundi, kutatua mitafaruku, jinsi ya kukabiliana na msongo wa mawazo, na kujua hulka ya mtu hutolewa. |
2 | Tathmini ya ajira hufanyika kwa mtazamo wa kisaikolojia kuona muombaji anafaa kwa kazi aliyoiomba. |
3 | Kuongoza ufuatiliaji na kutathmini miradi. |
4 | Kuongoza uundaji wa kanuni/sheria (mfano, kanuni ya kumlinda mtoto na mtu aliye katika mazingira hatarishi kwa taasisi) |
Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz
Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.