Tathmini ya Matendo

Tathmini ya Matendo inapatikana kwa kutumia Mpango wa Tathmini ya Matendo kwa watoto, Toleo la pili (Behavioral Assessment System for Children, 2nd edition). BASC 2 ni muundo uliokamilika uliotengenezwa kupima matendo, hisia, nasaba na makuzi kwa watoto na vijana wa kati ya umri wa miaka 2 hadi 21. Kwa kutumia maelezo kutoka katika viini mbalimbali, BASC inatoa maelezo ambayo ni muhimu kujenga Mpango wa Elimu kwa Mtu na kutoa mwongozo bora wa kielimu na kimatendo ambao unafanya kazi vema majumbani, katika mazingira ya kijamii na hata katika mazingira ya darasani.

 

Changia

Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz

Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.