Tathmini ya kazi

Tathmini ya kazi imetengenezwa kwa ajili ya watu waliomba ajira kwa waajiri ambao hutathmini uwezo wa muombaji kwa kazi. Kwa mfano, kampuni ya kuongoza watalii inapoajiri waongoza watalii, uasahili na ripoti zimetengenezwa kumsaidia muajiri kuchagua waombaji wenye uwezo.  Hii inahusisha usaili uliopangwa na ripoti.

 

Changia

Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz

Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.