Washiriki wenza wa AMHT

AMHT huwezesha huduma ya afya ya akili Arusha na ili kufanikisha hili vizuri AMHT hufanya kazi na washiriki wengine kwa kutoa mafunzo mengi iwezekanavyo na kushirikisha mbinu na maarifa kwa wengine.

Washiriki wetu:

1 Flora Family Foundation
2 Ubalozi wa Denmak Dar Es Salaam
3 Serikali ya Tanzania
4 Medical Missionary of Mary

 

Washiriki wengine ni kama:

1
Mashule na programu maalumu
2
Makanisa, misikiti na mahekalu
3
Taasisi za watoto wa mitaani
4
Vikundi vya ukimwi
5
Nyumba za mayatima na vikundi kwa watoto na watu wazima katika mazingingira hatarishi.
6
Vifaa na mashule kwa walemavu wa mwili na akili.
7
Taasisi za kimaendeleo.
8
Watu binafsi wenye mapenzi katika afya ya akili.

        

       Tunaendelea kukuza ushirika na tunakaribisha ushirikiano na jamii pamoja na serikali.

Changia

Kujiunga na kundi la marafiki na wafadhili wetu na kupata jarida la habari kwa barua pepe, tafadhali andika kwa info@amht.co.tz

Kama wapenda kutoa mchango, tafadhali bonyeza hapa.